Search

21 results for Husna Issa :

  1. Walioshinda tuzo za TFF 2020/21 hawa hapa...

    Wanawake. Janeth amewashinda Husna Zuberi (Yanga Princess) na Najiath Abbas (JKT Queens). 17. Aishi Manula amechukua tuzo ya Golikipa Bora wa Ligi Kuu Bara.  Manula amewashinda Jeremiah...

  2. Waliomteka mfanyabiashara, kuomba rushwa wakiri mashtaka

    Waliokuwa askari wa Jeshi la Polisi na wenzao watano wanaokabiliwa na mashtaka ya kumteka mfanyabiashara wa madini, Sammy Mollel na kumuomba rushwa ya Sh30 milioni wameandika barua za kukiri...

  3. Wanaoidai hoteli ya Impala, Naura Spring kulipwa hivi

    Mahakama kuu kanda ya Arusha imetoa hukumu ya kuuzwa viwanja vinne vinavyomilikiwa na kampuni ya Impala ili kuwalipa wafanyakazi 238 wa hoteli ya Impala na Naura Spring zote za jijini Arusha...

  4. TLS Arusha waomba Bunge litunge sheria kuruhusu mawakili Mahakama za Mwanzo

    Chama cha Wanasheria nchini (TLS) mkoa wa Arusha, kimeliomba Bunge Jamhuri ya Muungano kuharakisha utungwaji wa sheria ambayo itawawezesha mawakili kutoa huduma ya uwakili kwenye mahakama za...

  5. Kampuni za mabasi zatakiwa kuwa na madereva wawili kwa safari moja

    Kamanda wa kikosi cha usalama barabarani nchini Tanzania, Wilbroad Mutafungwa leo Ijumaa Januari 29, 2021 amezitaka kampuni za mabasi nchini kuweka madereva wawili katika safari za umbali mrefu.

  6. Takukuru Arusha kuanza kusikiliza kero vijiji

    Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa(TAKUKURU) mkoa wa Arusha imeanzisha huduma maalum ijulikanayo kama "Takukuru inayotembea" itakayofanya kazi kila jumatano ya ya mwisho wa mwezi katika...

  7. TRA, Takukuru kuwasaka wasiolipa kodi Arusha

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Iddy Kimanta ameiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Arusha kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuwafuatilia watu wanaokwepa...

  8. Bosi TRA akataa ombi la wafanyabiashara kuhusu EFD

    Wafanyabiashara jijini Arusha wameiomba Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuongeza muda wa kuboresha mashine za kielektroniki za kutoa risiti (EFD) kwa madai kuwa muda wa mwezi mmoja uliowekwa ni...

    New Content Item (1)
  9. Polisi Arusha wakamata wahamiaji haramu, watuhuwa wa wizi

    Watu 10 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoa Arusha kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo wizi, uhamiaji haramu pamoja na dawa za kulevya aina ya bangi.

  10. Tuliiba viti kupata fedha za mkakati, asema mwanafunzi

    Mmoja kati ya wanafunzi watatu wanaodaiwa kuiba viti 108 vya Shule ya Sekondari Sinoni, amesema walichukua uamuzi huo kwa ajili ya kutafuta fedha ya kulipia mkakati shuleni.

Page 1 of 3

Next